vijidudu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maji baridi sana (barafu ngumu) hayaui vijidudu vya magonjwa kama Typhoid. Is this true??

    Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha ukayaacha maji hayo kuyeyuka na kuwa liquid, bado yanakuwa si salama kwa kunywa kama ambavyo yangechemshwa...
  2. 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini (vijidudu) husambazwa kwa njia ya mikono

    Karibu 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini husambazwa kwa njia ya mikono kwa mujibu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (Centers for Disease Control and Prevention - CDC). Ni kwanini vimelea ni viumbe hatari sana? Kiini ni kiumbe kidogo sana kinachoweza kusababisha...
  3. N

    Ni nani anawajibika endapo vijidudu vya maradhi vinavyofanyiwa utafiti kwenye maabara vikiambukiza binadamu kwa makusudi au kwa bahati mbaya

    Ndugu wana JF, salaam. Naomba nitoe ushuhuda hapa kwamba wakati nafanya masomo yangu ng'ambo, nilihudhuria semina moja ambayo mtafiti alikuwa anawasilisha mada kuhusu namna anavyoweza kufufua (resurrect) virusi ambavyo vilileta milipuko na kuua mamilioni ya watu miaka mingi huko nyuma na...
  4. Jinsi ya kulinda viungo ninavyovifunga kwenye vifuko au makopo vikae muda mrefu visiwe na vijidudu

    Habari za mihangaiko Kwa wale wenye uzoefu (au wajuao) wa kufunga viungo (spices) kwenye vifuko au makopo, nini kinatakiwa kifanyike kuzuia wadudu au vijidudu kujitokeza na kushambulia viungo ambavyo vimeshafungwa baada ya kukaa mda kidogo tu. Je, kuna ingredient yoyote inaongezwa kuweza...
  5. T

    Teknolojia ya Vijidudu Vidogo Vidogo (Effective Microorganisms) Kwenye Kilimo, Ufugaji na Samaki

    Utangulizi EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni mfumo wa vijidudu hai, salama kwa binadamu. Hii teknolojia inatumika kwenye nchi zaidi ya 110...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…