Sasa hv kumekuwa na ongezeko kubwa sana la omba omba mijini na hata kwenye baadhi ya vijiji,cha ajabu sasa hv ni kama wana mfumo fulani ambao ni rasmi.
Kwanza maeneo wanayopendeleea kuomba yanafanana na hata wakati mwingine wanakuwa wengi sehemu moja,mfano ni kwenye taa za kuongoza magari na...