Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
Siku zilisonga mbele, lakini bado taifa lilikuwa katika msisimko. Mijadala ilikuwa moto, kutoka vijiweni hadi bungeni. CCM sasa walikuwa wakifanya kile ambacho walikuwa wakiwahi kibeza—kupinga sera za serikali kwa nguvu zote.
Katika ukumbi wa Bunge, Mbunge mmoja wa CCM mpya, ambaye zamani...
Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali.
1. Raia wengi, wanaamini mtu mwenye courage pekee kuongelea suala la muungano, ni TL.
2. eneo dogo kama zanzibar, lenye watu...
Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM
Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu.
Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea.
Wazee wa Simba wajaja juu kuwa Kayoko aliwahujumu
TFF wanawaita wazee wa Simba kuwa wanaharibu brand ya...
Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Sababu ninini? Elimu? Makuzi? Desturi? Mazoea?
Kwanini wengineo japo baadhi wapo tofauti? Tunabishana nao mitaa, tunagombana nao barabarani?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Kanisa moja takatifu la Mitume
Nilipita somewhere kwenye kijiwe cha kahawa mida ya jioni, nikakutana na waume za watu wanalaani vikali wake na ndoa zao, kiufupi wanajazana sumu. Nilijikuta mdomo wazi baada ya jibaba limoja kumkandia mkewe mpaka kufika hatua ya kububujikwa machozi, alibebelea kijifuko chenye kitoweo ndani...
💼 MHADHARA WA 6.
Habari ya leo wanaJF...
Kwenye mhadhara huu naomba kuzungumzia tabia ya wanaume wengi (wazawa) wa mikoa ya DAR ES SALAAM, LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI na hata kule ZANZIBAR ambao kutwa wanashinda vijiweni bila kufanya kazi.
Vijana wengi wa hiyo mikoa wanashinda vijiweni siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.