Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 18:00 jioni, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Mtaa wa Mwanyanje – Uyole, Kata ya Uyole, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya na kufanikiwa kumkamata ABDUL MWAKALINGA [27] Dereva Tax, Mkazi wa Uyole akiwa na bidhaa zilizozuiliwa kuingizwa nchini...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kwa siku ya jana na leo vazi pendwa la wanawake wa mjini dera na kijora vimepamba sana mjini.
Hivi sifa za wavaa hayo mavazi ni zipi?
Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani au shughulini. Zimekuwa mbadala wa khanga.
Asante.
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima wa afya,
Ndugu zangu ninaomba kujuzwa kwa wale wazoefu wa biashara ya kwenda Mombasa kufuata vijora ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata na mtaji ama kianzio cha biashara na tax pia wanatozaje, naombeni michango yenu na nataguliza shukrani za dhati kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.