vikao vya bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Pre GE2025 Picha: Tangu aingie bungeni mwaka 2020 Fred Lowassa ametoa michango 2 tu kwenye vikao vya bunge. Huyu anafanya nini bungeni?

    Wakuu, Naombeni kueleweshwa huyu mtoto wa Lowassa, Fred Lowassa anafanya nini bungeni maana tangu ashinde Ubunge wa Monduli mwaka 2020 ameuliza swali moja tu? Ukifungua website ya bunge inaonesha huyu baba tangu mwaka 2020 kauliza maswali mawili tu. Mtu kama huyu ana impact gani kwenye vikao...
  2. ESCORT 1

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

    Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha. Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa Jiji kubwa la Arusha kukosa stendi bora na ya kisasa kama mikoa mingine. Kupata taarifa na matukio...
  3. Waufukweni

    Uhaba wa fedha wakwamisha vikao vya Bunge la Afrika Mashariki

    Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao ya deni hali iliyoathiri vikao vikao vya bunge vilivyokuwa...
  4. Mindyou

    Mliokuwa mnahoji kuhusu Tigo kubadilisha jina, Mwigulu amewajibu "Kubadilisha majina ya makampuni hakuathiri mchakato wa kodi"

    Wakuu, Hapa juzi juzi tuliona Tigo imebadilisha jina kuwa Yas na kukawa na tetesi kuwa wanakwepa kodi. Akijibu swali bungeni kuhusu makampuni yanayobadilisha majina ili kukwepa kodi Mwigulu amesema "Kupitia sheria ya usimamizi wa kodi ya 238, serikali imeweka sharti kwamba mamalaka ya mapato...
  5. Roving Journalist

    Bashungwa: Serikali inatakeleza Mradi wa kununua magari 150 ya Zimamoto na kuyasambaza Nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuliimarisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kulipatia vitendea kazi ambapo sasa inatekeleza mradi wa ununuzi vifaa mbalimbali vya kuzima moto na uokoaji pamoja na magari 150 ya kuzima moto na uokoaji...
  6. Allen Kilewella

    Kwanini wabunge wa Zanzibar wasitoke nje ya Bunge yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika?

    Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika? Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
  7. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 3 Januari 30, 2025

    Fuatilia Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 3 Januari 30, 2025 https://www.youtube.com/live/l64PMMDmFb8?si=-abEAlHFt1w5glLx
  8. Chakaza

    Pre GE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

    Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea...
  9. Li ngunda ngali

    Nimeshangaa eti vikao vya Bunge vinaendelea ilihali hayupo anayejali

    Mchana wa leo rafiki yangu ambaye ni msaidizi wa kigogo fulani nimeshangaa ananiaga eti anatakiwa kupanda flight kuelekea Dodoma boss wake ametakiwa na Bunge kwenda kutoa maelezo kwenye Kamati mojawapo ya Bunge kuhusu sintofahamu ihusuyo shamba la mwekezaji kule Rukwa. Wallah kwanza sikufahamu...
  10. Stuxnet

    Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

    Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge. Tuendelee kufuatilia bunge ≈===================== "Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya...
  11. J

    Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

    Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali. Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu. Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge...
  12. S

    Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  13. BARD AI

    Vikao vya Bunge kurejea tena Agosti 29, 2023, Miswada miwili kujadiliwa

    Mkutano wa 12 wa Bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili miswada miwili na maazimio matatu. Ratiba ya Bunge iliyotolewa leo Agosti 28, 2023 inaeleza kuwa mkutano huo utafanyika kwa muda wa wiki mbili kuanzia kesho Agosti 29 hadi Septemna 8, 2023. Kesho wabunge wataanza na kupokea taarifa ya...
  14. peno hasegawa

    Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

    Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo. Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
  15. J

    Shehe Ponda: Kwanini Spika anaendesha Vikao vya Bunge Siku ya Ijumaa? Au ni kiburi?!

    Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili? Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada Jumapili ni Siku ya Ibada Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu! Sabato njema
  16. S

    Job Ndugai anahudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja. Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja? Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge? Kama alikwenda Israel...
  17. JanguKamaJangu

    Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  18. B

    Suala la vikao vya Bunge kurushwa live ni kazi ya Serikali au maamuzi ya Bunge?

    1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla? 2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe? 3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au...
  19. chiembe

    Kwa masahibu yanayompata Ndugai, pamoja na kauli yake kwamba anaumwa,ana faili Mirembe na kauli ya Erasto Ngole, asiendeshe Bunge Februari 2022

    Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022. Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake...
Back
Top Bottom