vikoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

    Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka. Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri. Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi. Ana...
  2. M

    Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

    Habari wadau. Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao. Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki...
  3. Magical power

    Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa maisha

    Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa Maisha. Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi nadaiwa kikoba Mtu anayecheza michezo sawa na mtu anabet kila pesa huiwazia kamari tu akaizalishe😀🙌🏿...
  4. Waufukweni

    Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

    Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku mkewe Catherine Andrea (45) akijeruhiwa mara baada ya kuvamiwa katika nyumba yao. Tukio hilo limetokea...
  5. M

    SoC04 Bima ya Afya Vikoba

    Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
  6. Nahman

    Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

    Hi guys… VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
  7. The unpaid Seller

    Vikoba vimewafanya wanawake wengi kua wadangaji, wahuni na matapeli.

    Peace be upon you all, Nadhani lengo la vikoba (sijui kama napatia spelling) ilikua kuwasaidia wanawake kiuchumi ila sote tunachoshuhudia ni tofauti kabisa. Vikoba vimekua kitanzi cha miiba mwitu kwa wanawake. Jambo moja lililonikutanisha na marafiki wa kike wengi kabisa wa zamani ni...
  8. Ulongupanjala

    Vicoba vitamaliza wake zetu

    Habari za Jumapili, Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na stress za kutosha kutokana na madeni ya vikoba, wengine hunyang'anywa...
  9. Suley2019

    VIKOBA na Madeni vyatajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Afya ya Akili. Wanawake wahanga wakubwa

    Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022 Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
  10. Zero IQ

    Nimeichakata Asubuhi hii kisa buku tano ya kwenye vicoba

    Aisee kama zari alfajiri hii kumi na moja ya leo kushituka napokea sms ya kuombwa buku tano na manzi flani hivi ya mtu, mtoto mashalah kama pisi ya willium kiasi kwamba nilikuwa nahofia sana kumtongoza kwa ule muonekano wake na jinsi alivyojazia,(tunakaa mtaa mmoja) Sasa leo si Ndio kanitext...
  11. DeepPond

    Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

    Baada ya kipind kile kuleta Ujinga wa kuniomba Kodi ya fremu kwa nguvu bila utu kipind ambacho nmetoka kuibiwa dukan kwangu, ikapelekea kuua kabisa Lile wazo langu la kumfungulia biashara yake ya urembo wa kina mama. Sasa Ni mwezi umepita aliponiomba nimfikirie tena niurejeshe Moyo nyuma...
  12. Carlos The Jackal

    Vikoba/vikundi vya michezo vimekuwa chanzo cha wake za watu kuchepuka

    Mambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo. Carlos The Jackal nasemaje, wewe kama una mke yaani umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivile halafu ana Jihusisha sijui na vikundi yaaan ana vikundi/vikoba/Visheti vingiiiii ila Hela yake...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

    Na, Robert Heriel Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya marejesho. Vikoba vina faida nyingi sana, lakini faida kuu ni msukumo wa kutafuta pesa iwe kwa halali au...
  14. Ukwelinasema

    Vikoba na wanawake

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Wakuu naomba kuwasilisha kwenu kwanini inachukuliwa tofauti na jamii hasa wanaume kwa mwanamke anaecheza/kujihusisha na vikoba? Ikiwa pesa inayopatikana wengi wameifungilia miradi/kuifanyia vitu vya maendeleo kwa ajili ya familia husika!
  15. Kasie

    Wanaume mnakwama Wapi? Vunja Vikoba Dar Desemba 2020

    Habari za jioni, Natumai hamjambo, mko poa na mnaendeleza gurudumu la maendeleo. Tangu mwezi wa 11 mwaka huu 2020 kumekuwa na wimbi la wadada/ wamama kuvunja vikoba vyao kwa maana ya vikundi vya wakina dada/mama hawa kukutana wanaenda mahala na kufurahi pamoja. Kawaida vikundi hivi vya kina...
  16. T

    Kuanzisha kikundi cha Ujasiriamali

    Ndugu habari, Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
Back
Top Bottom