Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo
1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua
2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan...