Somalia inapata ugumu baada ya mambo kuzidi kwenda Kombo!
Wakati wako kwene vita ya maneno na Taifa lenye heshima kubwa Afrika kwa kutotawaliwa na wakoloni la Ethiopia, mtanange umegeuka nakua kilanga kikubwa dhidi ya Somalia hasa kwa wale wakereketwa wa “GREAT SOMALIA” baada ya Taifa dogo...