vikwazo urusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. State Propaganda

    Indonesia kuanza kununua mafuta ya Urusi yaliyowekewa vikwazo

    Bila ya kujali vikwazo vya marekani na washirika wake dhidi ya Urusi, taifa hilo lililopo barani Asia lenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi limetangaza uamuzi wake wa kununua nishati ya mafuta yenye gharama ndogo kutoka Urusi. Hii inadhiirisha hakuna tena mtu anayeogopa vikwazo vya kiuchumi...
  2. D

    Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

    Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana. Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na...
  3. MALCOM LUMUMBA

    Swali la uchumi: Kwanini vikwazo vya mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi havifanyi kazi dhidi ya Urusi?

    Tokea mwaka 1944, baada ya kutengeneza mfumo wa Bretton-Woods hakuna taifa ambalo limewahi kuwa na uchumi mkubwa kama Marekani. Kufika mwaka 1945, Marekani ilikuwa inamiliki nusu nzima ya uchumi wa dunia. Fedha ya Marekani ikishikiliwa na dhahabu (Gold-Backed) ilikuwa ndiyo inatumiwa kwa kiwango...
  4. Sildenafil Citrate

    Urusi yazuiwa kushiriki michuano ya EURO 2024

    Shirikisho la soka Barani Ulaya limeshikilia msimamo wake wa kutoiruhusu nchi ya Urusi kushiriki michuano ya kufuzu UERO mwaka 2024. Huu ni mwendelezo wa vikwazo kwa nchi hiyo kufuatia kufanya uvamizi wa kijeshi kwenye nchi ya Ukraine. Hadi sasa, vilabu vya soka nchini humo vimezuiwa pia...
Back
Top Bottom