Shirikisho la soka Barani Ulaya limeshikilia msimamo wake wa kutoiruhusu nchi ya Urusi kushiriki michuano ya kufuzu UERO mwaka 2024.
Huu ni mwendelezo wa vikwazo kwa nchi hiyo kufuatia kufanya uvamizi wa kijeshi kwenye nchi ya Ukraine.
Hadi sasa, vilabu vya soka nchini humo vimezuiwa pia...