Bila ya kujali vikwazo vya marekani na washirika wake dhidi ya Urusi, taifa hilo lililopo barani Asia lenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi limetangaza uamuzi wake wa kununua nishati ya mafuta yenye gharama ndogo kutoka Urusi.
Hii inadhiirisha hakuna tena mtu anayeogopa vikwazo vya kiuchumi...
Tokea mwaka 1944, baada ya kutengeneza mfumo wa Bretton-Woods hakuna taifa ambalo limewahi kuwa na uchumi mkubwa kama Marekani. Kufika mwaka 1945, Marekani ilikuwa inamiliki nusu nzima ya uchumi wa dunia. Fedha ya Marekani ikishikiliwa na dhahabu (Gold-Backed) ilikuwa ndiyo inatumiwa kwa kiwango...
Nchi za magharibi hazijaamini hadi sasa kuwa Urusi imeweza kuhimili vikwazo lukuki vya kiuchumi, kinyume chake nchi za magharibi hususan ulaya magharibi ndizo zilizoumia zaidi. Ilitegemewa kuwa urusi itashindwa kuhimili na hivyo kushindwa kuendesha vita vyake dhidi ya ukraine.
Kwa upande...
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank
Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa...
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi
Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
Russia inashambuliwa kiuchumi kila kona kwa nguvu zote na matajiri wakubwa wajulikanao kama "Oligarchs" wanazuiwa mali zao katika mabenki mbalimbali duniani.
Hiyo ni kufuatia nchi mbalimbali duniani zikiongozwa na Marekani na Uingereza kuamua kuiweka vikwazo vya kiuchumi Russia baada ya nchi...
Uvamizi wa nchi ya Ukraine uliofanywa na Urussi umeshuhudia vikwazo lukuki vikiwekwa na nchi za magharibi dhidi ya Urusi.
Kwa wale tuliokuwa watu wazima miaka ya 70 na 80 (akiwemo bwashee) watakumbuka nchi hizo za magharibi zilikataa katakata kuweka vikwazo dhidi ya Afrika Kusini iliyokuwa...
Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa...
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.
Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA ATHARI ZAKE
Kitendo cha taifa letu, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuingia katika Uchumi wa Kati, ni hatua ya kimaendeleo. Lakini leo hii hoja ntakayoiweka mezani ni swala linalozungumzwa mara nyingi katika medani ya siasa za Kimataifa, mahusiano ya kimataifa na baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.