Katika mazingira fulani, hua panapotokea ukavu au kukauka kwa sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa..
Je, usahihi na usalama wa afya ya tendo lenyewe ni kutumia mate au mafuta kulainisha sehemu hizo zilizokauka au kavu?
Na vipi mkaishia hapo kwa siku hiyo, mpaka tena wakati mwingine...