Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel
Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na golf
Vilaza wanakuza mwili,,
Wenye IQ wanakuza Akili
ONLY FACTS
Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu.
Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake
Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20
Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama...
Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa hilo jambo hana kiasi kwamba swali likirudishwa kwake kwa ufafanuzi zaidi anabaki kumbwelambwela tu...
Wazee kwema,
Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?.
Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi.
Katika mabishani mawili matatu...
Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli.
Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi.
Halafu mobunge...
Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu.
Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo" Kama huna D mbili huwezi kuelewa"
Vitoto vya sekondari watadhani D...
I salute you kinsmen.
Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote.
Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao Tripoli.
Hawa hawa ndiyo waliokandwa na Biashara United kipindi kile eti leo ndiyo mnategemea...
Habarini waungwana....
Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?
Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.