Wakuu,
Wote tunajua kuwa Uchaguzi umekaribia na CCM kama kawaida wataanza kufanya vituko ili kupata huruma za wananchi.
Kuelekea Oktoba Makada wa CCM wataanza kuosha vyombo, kuruka sarakasi, kupiga magoti n.k
Tujumuike hapa kuweka picha na vibonzo kuelekea mwezi Oktoba
Wanabodi,
Hivi kweli kwenye nchi ambayo wanafunzi wanakaa chini na hawana hata vyoo huko mashuleni, mtu ambaye umeaminiwa na wananchi na wanawake wenzio kweli unaenda kugawa computers huko CCM?
Wakati napita napita huko mitandaoni nimekutana na clip ya Mbunge wa Viti Maalum Stella Ikupa, akiwa...
Wakuu
Mambo yanaonekana kuwa si shwari huko ndani ya Chama Cha Mapinduzi kama tunavyoaminishwa
Siku ya leo wanakijiji wa Mtaa wa Viwandani, Kata ya Unga Limited, wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kumpitisha Rasuli Mshana kwenye kura za maoni
WanaCCM hao...
WaziriI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu juu tayari imerekebishwa.
Waziri Aweso ameyasema hayo leo Oktoba 28, 2024 katika ziara ya kukagua...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini siku chache zilizopita alikaribisha kikundi cha waendesha baiskeli kinachoitwa TWENDE BUTIAMA.
Soma pia: Sagini: Wenye vikundi muandae miradi itayowawezesha kukopa pesa ndefu nawapigia debe
Kikundi hiki kiljumuisha waendesha baiskeli 84...
Wakuu,
Nikiwa napiga round mbili tatu mtandaoni nimekutana na video hii ambapo wanafunzi waliotajwa kutokea shule ya sekondari wakiwa wanapangishwa mstari wakajiandikishe kupiga kura.
Mbaya zaidi kwenye hii video, huyu mzungumzaji anasema kuwa wanafunzi hao sio wakazi wa eneo hilo!
Mbona...
Kampeni hazijaanza lakini mambo ni motoo, yaani kila anayepata nafasi ni mwendo wa kujipigia chapuo tuu, kama hakupeleka alivyosema atapeleka jimboni huu ndio muda wa kuviwasilisha!
Wacha tuendelee kunywa mtori nyaa tutazikuta chini!
Mpina amepokelewa kwa shangwe ya kutosha Sakasaka katika...
Mh mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Heri ya kwaresma.
Nije kwenye hoja, kuna uwezekano mkubwa wananchi wa Jimbo la moshi mjini tena kupitia ticket ya ccm kukosa Kura Za maoni kama walivyofanya awali au kukosa ubunge 2025.
Tatizo ulilonalo ni kutokutambua wananchi wako wanahitaji nini na...
Wakuu na nyuki wa mama,
Kweli tutaona mengi kabla ya uchaguzi 2025. Mkiwa mnawapa script hawa hata mfanye kuedit basi ili ziendane nao. Wananchi wanaongea unaona kabisa kasukua huyoo anatapika!
Mngekuwa mnafanya kazi kweli na kuwajibika wala msingekuwa mnatumia nguvu kiasi hiki. Wananchi...
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Bufanka kilichopo wilayani Bukombe.
Akiomba kura hizo kwa lugha ya Kisukuma, mbunge huyo amesema...
Wakuu,
Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.
Yaani ni hekaheka, patashika nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.