Wakuu,
Wote tunashuhudia kipindi hiki cha uchaguzi wanasiasa wakiangahaika huku na hukokuonesha wananchi wao ni watu wa kazi, wanawasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati, wanafika mitaani kuangalia mambo yanavyoenda, ziara za kushtukiza zinapigwa kwelikweli, wengine mpaka wameweka...
Wakuu,
Hadi nimecheka :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: oyaa napita hapo dk 0 kwenye gari aina fulani, fanya kunipiga mkono:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:.
=====
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa akizungumza na askari wa usalama barabara katika eneo la Magugu wilayani...
Wakuu,
Wakati mnaendelea kujadili mchuano kati ya Lissu na Mbowe, viongozi wa CCM wameendelea kutustaajabisha!
=================================================
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amemkabidhi pikipiki mpya kijana Kusana Lumambo, aliyegonga gari la mkuu huyo wa mkoa na...
Wakuu,
Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne...
Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
Mwaka ndo huu ambao shughuli za wanasiasa kuwa bize zaidi kuliko kipindi kingine
Matukio makubwa ambayo yataambatana na shughuli za wanasiasa ni kama ifuatavyo
1,Vikao majimboni vya usiku na mchana,ng'ombe, kuku mbuzi kuchinjwa ni mwaka huu, tunategemea kuwaona wabunge majimboni mwaka huu...
Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao.
Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao.
Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu.
Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za msingi na kujipendekeza kwa wagombea.
Kama hali inakuwa hivi je waandishi watafanya kazi yao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.