DNA, VINASABA
Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata katika hali ya kiroho zaidi.
Kama katika familia yako au mzazi wako ni mganga ama mchawi basi tambua...
Ungana nami hapa tujadili suala la vikwapa kwa kutumia sayansi.
Je, wajua kwamba watu wa Asia ya mashariki huwa hawanuki vikwapa?
Eneo la Asia ya mashariki linajumuisha nchi za China, Japan, Korea za kusini na kaskazini, Mongolia, na Taiwan.
Inakadiriwa kuwa asilimia kati ya 80 -95 ya watu wa...
Wanajamvi wenzangu.
Nilikuwa naangalia Tiktok kuna waafrika weusi kabisa kutoka Igbo Nigeria na South Africa wamepima DNA wakapatikana ni wayahudi 97% wengine 85%.
Huko Ethiopia ndo usiseme. Kuna mdada flani kapima kajikuta 2% borana 3% Oromo iliosalia ni mteule.
Cha kustaajabisha Southern...
Nchi ya Djibouti imeamua kutumia njia tofauti baada ya kuona wanazidiwa na malaria. Imekua ni nchi ya pili baada ya bukina faso kufanya kitu kama hiko.
Kwa nini Djibouti inatoa mbu waliobadilishwa vinasaba?
Malaria huua zaidi ya watu 600,000 kila mwaka duniani kote. Malaria ni ugonjwa hatari...
CHANZO NI BBC SWAHILI
Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa.
Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha kumekuwa na mahususiono mengi ambayo yamejawa na kutokuaminiana ndani yake, maana yake nini? Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu suala la kutokuamiana hasa kwa viumbe hai limekuwa sugu sana na hasa kwa kiumbe aitwaye mwanadamu.
Mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa...
Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao.
Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.
Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
Kumekuwa na mining'ono kuhusu chanjo za COVID-19 kuathiri DNA. Lakini je, hili lina ukweli wowote?
Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), hakuna chanjo ya COVID-19 inayoathiri au kuingiliana na DNA kwa namna yoyote ile
UNICEF inaeleza kuwa chanjo hufunza seli...
Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao.
Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na familia nyingi pale inapobainika kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba.
Hii ni kwa sababu hakika ni...
DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili.
=========
Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii.
Iko hivi:
Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
Dodoma, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amepiga marufu uuzaji wa mafuta ya Petroli, Dieseli, na Mafuta ya Taa yasiyo na vinasaba unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini.
Dkt. Kalemani alitoa maagizo hayo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kushtukiza ya kukagua vinasaba kwenye...
Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za baba mtu na kwenda kukamilika tumboni kwa mama.
Kidijitali taarifa za kielektroniki zinatunzwa na...
Nchi chache za Afrika zina wanasayansi wanaoweza kusoma vinasaba (RNA) vya virusi vya corona. South Africa, Nigeria na Kenya ni baadhi ya nchi chache Africa ambazo zina maabara ya kisasa na wanasayansi waliobobea wanaoweza kudecode RNA ya virusi vya corona. Wanasayansi wa Kenya wamegundua kuwa...
Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja.
Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, misingi ya Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba namba 8 ya mwaka 2009 inaeleza umuhimu wa kushirikisha upande wa tatu
Upande huo huweza kuwa Jeshi la Polisi, Mahakama, Mwanasheria au Ustawi wa Jamii
Mamlaka hizo huandika...
Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba vya Binadamu ya Mwaka 2009, Sheria namba 8 kuanzia ibara ya 45 hadi 47 inaeleza taratibu za upimaji wa vinasaba kwa mama mjamzito, kijusi na mimba iliyotungwa nje (extracorporeal embryos).
Vipimo vya vinasaba kwa mama mjamzito havitakiwi kufanyika ila pale tu...
Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio kumebeba software ya ufahamu na utambuzi wa kiumbehai... Nywele nyingine zimeota juu ya ngozi ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.