vinasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanasayansi wameshindwa kuzichakata DNA katika hali ya kiroho

    DNA, VINASABA Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata katika hali ya kiroho zaidi. Kama katika familia yako au mzazi wako ni mganga ama mchawi basi tambua...
  2. Sayansi ya vikwapa

    Ungana nami hapa tujadili suala la vikwapa kwa kutumia sayansi. Je, wajua kwamba watu wa Asia ya mashariki huwa hawanuki vikwapa? Eneo la Asia ya mashariki linajumuisha nchi za China, Japan, Korea za kusini na kaskazini, Mongolia, na Taiwan. Inakadiriwa kuwa asilimia kati ya 80 -95 ya watu wa...
  3. Nimehamasika kwenda kupima DNA. Labda nina uyahudi ndani yangu

    Wanajamvi wenzangu. Nilikuwa naangalia Tiktok kuna waafrika weusi kabisa kutoka Igbo Nigeria na South Africa wamepima DNA wakapatikana ni wayahudi 97% wengine 85%. Huko Ethiopia ndo usiseme. Kuna mdada flani kapima kajikuta 2% borana 3% Oromo iliosalia ni mteule. Cha kustaajabisha Southern...
  4. Djibout imeachilia mbu waliobadilishwa vinasaba kupambana na malaria

    Nchi ya Djibouti imeamua kutumia njia tofauti baada ya kuona wanazidiwa na malaria. Imekua ni nchi ya pili baada ya bukina faso kufanya kitu kama hiko. Kwa nini Djibouti inatoa mbu waliobadilishwa vinasaba? Malaria huua zaidi ya watu 600,000 kila mwaka duniani kote. Malaria ni ugonjwa hatari...
  5. Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

    CHANZO NI BBC SWAHILI Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa. Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na...
  6. E

    SoC04 Kipimo cha vinasaba kupunguza/ kuongeza ukatili wa kijinsia na watoto

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha kumekuwa na mahususiono mengi ambayo yamejawa na kutokuaminiana ndani yake, maana yake nini? Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu suala la kutokuamiana hasa kwa viumbe hai limekuwa sugu sana na hasa kwa kiumbe aitwaye mwanadamu. Mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa...
  7. Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  8. Prof. Wajackoyah aomba Rais Samia amruhusu awekeze kwenye bangi

    Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
  9. M

    Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

    Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha. Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
  10. J

    #COVID19 Chanjo za COVID-19 haziathiri DNA kwa namna yoyote

    Kumekuwa na mining'ono kuhusu chanjo za COVID-19 kuathiri DNA. Lakini je, hili lina ukweli wowote? Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), hakuna chanjo ya COVID-19 inayoathiri au kuingiliana na DNA kwa namna yoyote ile UNICEF inaeleza kuwa chanjo hufunza seli...
  11. Ni kosa kumuuliza Mwenzi kuhusu uhalali wa watoto wako?

    Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao. Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na familia nyingi pale inapobainika kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba. Hii ni kwa sababu hakika ni...
  12. Kazi ya kuweka Vinasaba (Marking) kwenye mafuta, TBS hawajui, Wabunge na Waziri Kalemani hajui chochote kinachoendelea. Je, kodi stahiki italipwa?

    DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii. Iko hivi: Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
  13. Dkt. Kalemani: Marufuku kuuza mafuta yasiyo na vinasaba

    Dodoma, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amepiga marufu uuzaji wa mafuta ya Petroli, Dieseli, na Mafuta ya Taa yasiyo na vinasaba unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini. Dkt. Kalemani alitoa maagizo hayo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kushtukiza ya kukagua vinasaba kwenye...
  14. Fahamu maajabu ya Vinasaba vinne vya msingi

    Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za baba mtu na kwenda kukamilika tumboni kwa mama. Kidijitali taarifa za kielektroniki zinatunzwa na...
  15. Kumbe wanasayansi wa Kenya wanaweza kusoma vinasaba vya virusi vya Corona

    Nchi chache za Afrika zina wanasayansi wanaoweza kusoma vinasaba (RNA) vya virusi vya corona. South Africa, Nigeria na Kenya ni baadhi ya nchi chache Africa ambazo zina maabara ya kisasa na wanasayansi waliobobea wanaoweza kudecode RNA ya virusi vya corona. Wanasayansi wa Kenya wamegundua kuwa...
  16. Je, wajua gharama za upimaji wa vinasaba (DNA) nchini Tanzania?

    Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja. Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
  17. Nafasi ya Mamlaka kwenye mchakato wa upimaji wa Vinasaba vya Binadamu (DNA)

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, misingi ya Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba namba 8 ya mwaka 2009 inaeleza umuhimu wa kushirikisha upande wa tatu Upande huo huweza kuwa Jeshi la Polisi, Mahakama, Mwanasheria au Ustawi wa Jamii Mamlaka hizo huandika...
  18. Sheria inasemaje kuhusu Mjamzito kupimwa Vinasaba vya Binadamu (DNA)?

    Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba vya Binadamu ya Mwaka 2009, Sheria namba 8 kuanzia ibara ya 45 hadi 47 inaeleza taratibu za upimaji wa vinasaba kwa mama mjamzito, kijusi na mimba iliyotungwa nje (extracorporeal embryos). Vipimo vya vinasaba kwa mama mjamzito havitakiwi kufanyika ila pale tu...
  19. Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi

    Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio kumebeba software ya ufahamu na utambuzi wa kiumbehai... Nywele nyingine zimeota juu ya ngozi ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…