ving'amuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huu mwendo, bado kuna utaratibu wa ving'amuzi vya mabasi?

    Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe, Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa. Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…