Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je...