vinicius jr

Vinícius José Paixão de Oliveira Júnior (Brazilian Portuguese: [viˈnisjuz ʒoˈzɛ pajˈʃɐ̃w̃ dʒi oliˈvejɾɐ ˈʒũɲoʁ]; born 12 July 2000), commonly known as Vinícius Júnior or Vini Jr., is a Brazilian professional footballer who plays as a forward for La Liga club Real Madrid and the Brazil national team. Considered one of the best players in the world, he is known for his pace and dribbling ability.
Born in São Gonçalo, Vinícius began his professional career at Flamengo, where he made his senior debut in 2017, at age 16. A few weeks later, Vinícius was the subject of a transfer to La Liga club Real Madrid, for whom he signed in a £38 million deal, which was a national record for an U-18 player. The transfer was made effective after his 18th birthday, with Vinícius debuting for the club in 2018–19. Over the following seasons, Vinícius established himself as a prominent member in Real Madrid's squad, helping the club win two La Liga–Champions League doubles, scoring the winning goal in the 2022 and 2024 finals, being named the tournament's Player of the Season in 2024.
At his youth stage for Brazil, Vinícius was a key player in the victory at the 2015 South American U-15 Championship and 2017 South American U-17 Championship, finishing as leading goalscorer in the latter competition. He made his senior debut in 2021 and helped his nation to a runner-up finish at the 2021 Copa América, also representing Brazil at the 2022 FIFA World Cup in Qatar and the 2024 Copa América in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchochezi

    Hata Ulaya wanataniana; Ona namna Man City ilivyompiga kijembe Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or

    Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya. Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
  2. Vien

    Chanzo cha Ugomvi wa Vinicius jr vs Luca modric jana

    HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA: Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real Madrid C.F. ,real Madrid waliruhusu Corner na Leganese wakaenda kupiga corner hiyo. Nahodha Mkuu wa Real...
  3. Waufukweni

    Vinicius Junior anafikiria kununua klabu ya soka katika ligi daraja la pili nchini Ureno

    Nyota wa Real Madrid, Vinícius Júnior, anafikiria kununua klabu ya soka katika ligi daraja la pili nchini Ureno, kwa mujibu wa chanzo kilichoieleza ESPN. Ligi hiyo ya Ureno ina jumla ya klabu 18, zikiwemo timu za akiba za Benfica na Porto. == Real Madrid star Vinícius Júnior is considering...
  4. JanguKamaJangu

    Jude Bellingham amemaindi baada ya Vinicius Jr kutompa mpira apige penati

    Jude Bellingham 'is raging at Vinicius Jr's behaviour over a penalty' and 'is particularly upset' with his goal-scoring issues at Real Madrid The reason behind Jude Bellingham's fury at being substituted in Real Madrid's 3-1 defeat by AC Milan has been revealed. Defending champions Madrid...
  5. Waufukweni

    Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo

    Mshindi wa Ligi Kuu ya Uingereza na Euro, Rodri, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa kiume duniani kwa mwaka 2024, akiwa kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo. Kiungo wa Manchester City, Rodri, ametunukiwa tuzo ya Ballon d’Or baada ya msimu bora uliomletea mafanikio katika ngazi ya klabu na...
  6. Waufukweni

    Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti vyao katika Hafla ya Ballon d’Or usiku huu

    Taarifa mpya kutoka ukumbini Théâtre du Châtelet ni kwamba majina ya nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr na Jude Bellingham yameondolewa kwenye viti vyao kwa hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or itakayofanyika usiku wa leo, Paris, Ufaransa. Hali hii imeleta mshangao mkubwa, na hakuna anayejua...
  7. Waufukweni

    Rodri atua na magongo ndani ya Paris kupokea Ballon d'Or aliyoporwa Vinicius Jr

    Kwa mujibu wa ripoti, Rodri ameshinda tuzo ya Ballon d’Or na yuko Paris kupokea tuzo hiyo. Vyanzo vya habari Ulaya vinaripoti kuwa Vinicius Jr hatosafiri kuelekea Paris kuhuhudhuria tuzo za Ballon dor usiku wa leo kutokana na kuwa wamepata taarifa kuwa yeye sio Mshindi wa tuzo hiyo na hakuna...
  8. Waufukweni

    Vinicius Jr hatasafiri kwenda Paris kwa vile anajua "Hatashinda" Ballon d'Or mwaka huu

    Mchezaji nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr, hatasafiri kwenda Paris kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d’Or baada ya kujua hatashinda tuzo hiyo mwaka huu. Uongozi wa klabu hiyo umeamua kwamba hakuna mwakilishi yeyote wa Real Madrid atakayehudhuria hafla hiyo ya kifahari. Soma Pia...
Back
Top Bottom