vinu

Vinu is both a surname and a given name. Notable people with the name include:

V. M. Vinu (born 1958), Indian film director
Vinu Chakravarthy (born 1945), Indian actor, script writer, and director
Vinu Mohan (born 1986), Indian actor

View More On Wikipedia.org
  1. Tunafanya moto rewinding, kusuka na kufanya repairing motor na vinu vya jenereta

    Sisi wa watalaam wa kusuka motor zozote kuanzia 1horse power hadi 1000horse power. Pia tunasuka vinu vya Generator kuanzia 5kva to 2000kva. Offuce ipo Tabata Relin. Tuna wakaribisha company, Taasi yoyote pamoja na watu binafsi Karibuni sana 0693296809
  2. Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran

    Baada ya Mazungumzo Kati ya waziri mkuu, wa Israeli, Netanyahu na raisi wa marekani Biden, kuhusu Israeli kulipiza kisasi cha mashambulizi ya makombora ya Iran , Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran 🤔...
  3. Iran yafunga na kuficha vinu vyake vya nyuklia

    Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the “possibility” of an Israeli attack on Iran’s nuclear sites. Speaking to reporters in New York on Monday...
  4. Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
  5. Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  6. Ukraine wakomboa vinu vya mafuta na gesi, Boyko Towers. Warusi wakimbia mapambano na kuvitelekeza

    Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni, wanapambania ardhi ambayo wenyewe hawana haja nayo...... Walikua wamejichukulia vinu vya gesi, vimewatoka...
  7. Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao

    Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda... Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
  8. Ujerumani yataifisha vinu vya mafuta vya Urusi

    Hamna namna....imebidi The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to its economy from the European Union's embargo on Russian oil. The embargo is set to go into effect on...
  9. Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  10. Nchi zenye vinu vya nyuklia na silaha za nyuklia humu duniani

    NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine) NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
  11. M

    Anayeuza vinu vya kukoboa mpunga

    Kama inavyosomeka hapo juu, Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga vijijini. Ahsante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…