vioja

Vioja Mahakamani is a Kenyan comedy series and one of the country's most popular television shows. The show has been broadcast for 25 years. The series can be viewed on Kenya Broadcasting Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Logikos

    Vioja vya Trump:Atishia kujaribu na kurejesha udhibiti wa Mfereji wa Panama, Iwapo hawatapunguza Ada

    Rais mteule Donald Trump ameitaka Panama kupunguza ada kwenye Mfereji wa Panama au irejeshe kwa udhibiti wa Marekani, akiishutumu nchi hiyo ya Amerika ya kati kwa kutoza "bei kubwa" kwa meli na meli za Marekani. "Ada zinazotozwa na Panama ni za kijinga, na sio za haki," aliuambia umati wa...
  2. greater than

    Vioja gani ulifanya kipindi umeanza starehe ya pombe

    Habari za mwisho wa weekend wanajamii. Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe. Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia ilikuwaje/ ulifanya kioja gani? Kwangu 1. Mwaka Mpya Arusha 2018, Mimi na jamaa yangu tukaenda kupata mlo...
  3. Huyaa Dr

    Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

    Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani? Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni rasmi(rais) kaingia mitini,makamo Hana maamuzi ya papo Kwa hapo ataahidi kumfikishia ujumbe rais(changa...
  4. Roving Journalist

    Amos Makalla: Wananikumbusha majukumu yangu, waambieni ‘nayaelewa’

    Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”. Anasema “Nayaelewea, yapo katika Katiba ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 107 Kifungu cha Pili A mpaka F...
  5. sanalii

    Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

    1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo. 2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba. 3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama...
  6. T

    Maisha ya bongo!

    Wazee waliposema usiku mrefu waliwaza vingi bwana, leo katika harakati nimejikuta nakosa msosi na kulala pakavu tumboni, sahizi nipo natapa tapa hapakuchi!! Nimeingia kitandani toka saa nne hadi sahizi saa tisa sipati usingizi nasinzia nikishtuka nakuta nimesinzia dakika kumi au kumi tano tu...
  7. The Shah of Tanganyika

    Huku Dkt. Slaa, kule Silaa. Serikali Inaendeleza Vioja

    Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Silaa kuvuruga malengo ya hoja husika. Jerry Silaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa. Headline za magazeti pamoja na zile...
  8. De Professor

    Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

    Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu. Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe...
  9. Pang Fung Mi

    Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
  10. T

    TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

    Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani. Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia. Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la...
  11. JanguKamaJangu

    Dkt. Tulia ataka UVCCM kuacha vioja, wajibu hoja

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutumia nafasi zao kubishana kwa hoja na kuendelea kudumisha amani ,umoja na mshikamano hali itakayosaidia kuwalinda Viongozi wa taifa . Dkt.Tulia ameyasema hayo Jijini Dodoma...
  12. Pang Fung Mi

    Itachukua muda watu kugundua maafa ya wapiganaji huko Msumbiji baada ya kuunda vioja zubaishi vingi nchini

    Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea...
  13. babukijana

    Vioja na Mabasi

    Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana. Na bila kuyaongea yataendelea. Kwenye Mada Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima. Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo...
  14. SamBug

    Wanajukwaa tushee Stress za mapenzi na vioja vyake

    Habarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya 💯💯 Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress za mapenzi Ukiachana na vifuatavyo; 1, Kunyoosha nguo bila kuwasha socket 2,Kuchomeka Kadi ya mpiga...
  15. T

    #COVID19 Wizara ya Afya itafutiwe Waziri mwingine

    Nimeona mtandaoni namna ambavyo Waziri wa Afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za Askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe. Zaidi ya mipasho hakukua na majibu ya moja kwa moja ya kuwashawishi wananchi wakapatiwe chanjo ya UVIKO_19. Kwamaelezo ya waziri...
Back
Top Bottom