Nimekuwa nikijiuliza Kuwa Viongozi wote walioteuliwa wana furaha kweli au Ndio huogopa hata kucheka.
Mbona kama wanaishi maisha ya hofu sana Jamani maana kama mkeka ukisoma Jina halipo hiyo nayo ni shida nyingine.
Wanapaswa kuishi vipi hawa watu ili wawe na furaha na wafanye kazi kwa ufanisi...