Nchi zote zinazo wapatia matibabu viongozi mafisadi wa ki Africa ni muda Sasa wa kumuiga Trump Ili wawe wanatibiwa hapahapa(nchini mwao) kama JPM alivyokuwa anatibiwa Hadi kujifia hapa nyumbani.
Huu ndio uzarendo. Viongozi wetu Kila siku tunalia hospital hazina vifaa na madawa Wala hawajali...