Hii kitu ni mbaya sana unakuta mtu anajiona sio binadamu wa kawaida.
Ni kweli umepambana kufika hapo ila jitahidi kuheshimu watu wote awe kapuku, Awe tajiri, Awe asiye na elimu, Awe na elimu, (heshima, heshima, heshima).
Kuweza kupata chochote kwa mda utakao hakukufanyi usiwe binadamu wa...
10. Liti Kidanka.
Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la kichwa chake liko huko Ujerumani. Aliunganisha watu na alitumia nyuki kupambana na...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Leonce Mujwahuzi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa imara kutokana na kuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wake kwa utaratibu wa kuwabadilisha na kuchagua viongozi wapya kila baada ya muda fulani ambapo inapelekea...
Unatarajia mtu aliyelelewa katika mazingira ya ubinafsi kuanzia nyumbani hadi shuleni atakuwa na tabia gani kama siyo ubinafsi mtupu?
Fikiri, alipokuwa mtoto, aliaminishwa kuwa nyama nzuri kama paja la kuku ni mahsusi kwa ajili ya baba. Anaweza akajenga matumaini kuwa naye atakapokuwa mkubwa...
Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu.
Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano mtoto wa kiume ndiye anachunga mifugo porini na ndiye msimamizi wa mbwa nyumbani, haya ni mambo ya...
Wasalaam,
Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5.
Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si watanzania. Tangu jana nawapigia ndugu zangu waliopo tigo najibiwa kwamba namba unayopiga haipo...
Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.
1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)
2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)
3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia)
4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana)
5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
Kama kuna la kujifunza wengine wajifunze sasa. Na ni lazima wajilazimishe kutambua ya kwamba kuna kesho. Na kesho ni kubwa kuliko leo
Watoto wa wanasiasa.. Wazazi wenu baadhi mikono yao imejaa damu za watu. Wengine walifika walipofika kwa kuwakandamiza na kuwaumiza wengine.
Watoto wa wanasiasa...
📖Mhadhara wa 23:
Hii ni sheria ya 1 kati ya zile sheria 48 zilizoandikwa na Robert Greene katika kitabu chake cha THE 48 LAWS OF POWER. Inasisitiza kamwe usimzidi mkubwa wako.
Hakikisha kuwa walio juu yako (wakuu wako) wanajiona kuwa bora kila wakati. Lakini pindi unapojaribu kuwavutia au...
Ndugu zangu viongozi na viongozi watarajiwa,
Hii nchi yetu pedwa haitabadilishwa na viongozi wa sasa ambao wamefundishwa kufanya kila wafanyanalo kuhudumia viongozi wenzao badala ya kuhudumia taifa. Viongozi ambao wanafikiria watapata vipi pesa kutokana na kodi na rushwa.
Viongozi ambao...
Katika historia ya nchi yetu, kumejawa na watu mbali mbali waliotikisa vyombo vya habari Kwa kufanya mambo makubwa Kwa ajili ya nchi yetu katika nyanja mbalimbali ikiwemo wapigania uhuru, wanamichezo, wavumbuzi na kadhalika.
Katika global stage, wenzetu Wana national archives inayoweka record...
Habari wana JF.
Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo kwenye nchi yetu.
Mfano, mtu anachaguliwa kugombea kupitia committee ya chama chake then anakuja...
1.0 UTANGULIZI
KIONGOZI Ni mtu mwenye dhamana ya kusimamia kundi fulani la watu yeye akiwa mstari wa mbele kama muwakilishi wa kundi hilo katika jambo fulani. Kiongozi hupatikana kwa namna mbalimbali kama vile kuchaguliwa, kuteuliwa au kurithi. Kuna aina kuu mbili za viongozi ambazo ni kwanza...
ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA.
SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO.
Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
Wakuu,
Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu;
Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo?
Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi.
Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika.
(b) Mwaka...
Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi?
Demokrasia ya wengi wape hata kama ni...
Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa
Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa.
Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.