Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho.
Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...