Wakuu,
Mchengerwa OR TAMISEMI ameng'aka huko kuwa wananchi wachukuliwe hatua ikiwa watafanya kilichotokea chuga - wa Chuga waliwapitisha viongozi kwenye matope waone adha wanayopitia.
Sasa kama hilo umeliita uhalifu, hauoni kama wewe Mchengerwa OR TAMISEMI na viongozi wako ndio wahalifu...