Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo imeisha? Aliyekuwa DC Hai alihukumiwa kwa unyang'anyi na inadaiwa alikata Rufaa na anatumikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.