Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ataandikwa kwenye kumbukumbu za historia za viongozi shupavu wa nchi hii kwa namna alivyothubutu kuchochea mageuzi na mabadiliko katika kilimo kwa bajeti ndogo tu.
Kipindi hiki cha mavuno ya mazao mbalimbali nchini, kinadhihirisha uthubutu, nia na dhamira yake...