Wakuu,
Matokeo ya weekend yametuvuruga Simba kuanzia mashabiki, wachezaji, makocha hadi viongozi! Ni kama hakuna anayejua tumekosea wapi.
Kuna tetesi mitandaoni kuwa kocha Robertinho amepewa game tatu kuamua hatma yake, Azam, Vipers in and out. Huu ni uganga wa kienyeji sio hesabu za mpira...