Habari wananjamvi,
Sidhan wnavijana waliosoma wanafurahia kuona haya.
YAAN KUNA wakati unawaza inasoma ili iwe nn?
Unapambana kuwa mwanasiasa ili uwe nani
Na hii n kutokana na muendelezo wakuona baadhi ya wazee wakiwa wanaopishana tu pale juu Leo kaingia huku mwingine kule
Siku unahisi...
Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais.
Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
Ndugu zangu viongozi na viongozi watarajiwa,
Hii nchi yetu pedwa haitabadilishwa na viongozi wa sasa ambao wamefundishwa kufanya kila wafanyanalo kuhudumia viongozi wenzao badala ya kuhudumia taifa. Viongozi ambao wanafikiria watapata vipi pesa kutokana na kodi na rushwa.
Viongozi ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.