viongozi wa africa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kwa nini viongozi wa Africa hawafanyi rehearsal ya speech zao kabla ya kwenda public?

    Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende. Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe. Waziri mkuu...
  2. Randy orton

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  3. musicarlito

    Aibu hii kwa viongozi wa Africa na Africa mgogoro wa Congo

    Hawawezi kuamua siku zote. Wao hujificha madhaifu yao na aibu zao kwenye diplomatic Kituko kweli,yaani ukae mfanye mazungumzo na mwanao(M23) wa kuasili anaetaka kukuua wakishirikiana na baba yake mzazi(Rwanda) Mwanao anaekuhujumu mfanye mazungumzo,viongozi wa Africa hawawezi kuamua mambo...
  4. ngara23

    Mazungumzo kuhusu mgogoro wa DRC na M23 ni unafiki na uoga tu. Wawaambie Rwanda na Uganda ukweli

    Mgogoro wa Congo DR hatuhitaji mazungumzo ili kupata suluhu, Maadui wa Congo DR ni wajumbe wa huo mkutano ni wazi kuwa ni Kagame na Mseveni, Sasa hawa ndo wapo kinafiki ati wanashauri mbinu za mapatano. Yaani wakuu wa nchi wanaitisha mazungumzo dhidi ya waasi wa M 23 Kwa maana wameshindwa...
  5. jodac

    Viongozi wa Afrika wachukulie jambo la USA kujiondoa WHO kama fursa na sio kulalamika

    Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani badala ya kununua samani na magari ya kifahari. Pia, nifulsa kwa raia wenye akili bunifu katika...
  6. Cute Wife

    Mkutano wa Nishati Afrika (Africa Energy Summit) 27-28 Januari, 2025

    Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025. Mkutano huu unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya...
  7. Father of All

    Kuna kila haja ya kupima afya za wanaogombea uongozi nchini hasa afya ya akili

    Wanabodi, Watanzania wanajua wanavyotawaliwa na walivyotawaliwa. Kuna mambo yaliyofanywa au kufanywa na baadhi ya viongozi wetu yanatia shaka kuhusu utimamu wao kiafya hasa upstairs. Haya ni mawazo na maoni yangu. Sijui kama wenzangu mnayaona haya. Na kama mnayaona, mnaonaje ushauri kuwa kuna...
  8. N

    Ushindi wa Trump ni mwiba kwa viongozi wa Afrika

    Ushindi wa Trump unaenda kua mwiba kwa hawa viongozi wa Africa wanaopenda kutembeza bakuli kuomba omba. Naona sasa dawa imepatikana. Hao mnaowatembezea bakuli na kila kukicha kwenda nchini kwao walisacrifice kwa ajili ya nchi zao mpaka leo zipo kama mnavoziona. Hawakusacrifice kwa ajili ya...
  9. kavulata

    Viongozi wa Afrika wanaenda China kujifunza lakini hawaji kufanya kama Wachina

    Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
  10. Yoda

    Kagame ni muongozo sahihi katika masuala ya kidini nchi za Afrika

    Linapokuja suala la dini Kagame ndiye kiongozi 'sensible' zaidi katika bara la Africa. Sasa hivi anafikiria makanisa yaanze kulipa kodi! Pia soma: Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100 iliyokiuka vigezo vya usalama Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametangaza kuwa anaweza kuanzisha kodi...
  11. Megalodon

    Viongozi wa Africa msikimbilie kukopa na kuongeza kodi, mnatakiwa kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa taifa

    Viongozi wa Africa sijui development ya brain zao zilikuwa ni tofauti za binadamu wa kawaida au. Sio Kenya wala Tanzania , angalau Kagame anawazidi by far. Kwa mfano Tanzania tuna deni kubwa la taifa, lakini expenditure za viongozi zimeongezeka ambazo hizo expenditure sio za muhimu. Kwa mfano...
  12. BLACK MOVEMENT

    PhD za heshima ni mitego kwa viongozi wa Afrika, ni mambo ya asimilation policy

    Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi? Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena ni sio wote bali ni wale wanao wafurahisha Wazungu kwa kiwango kikubwa sana. Asia ina viongozi...
  13. Mathanzua

    Viongozi wa Afrika hawana budi kujali maslahi ya watu wao kuliko yao binafsi, mabeberu wa nchi za Magharibi na wengineo

    Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Sasa inashangaza kwa kuwa kama ni hivyoo, kwanini alitamani kuwa Rais kwa vile jukumu...
  14. The Burning Spear

    Viongozi wa Afrika ulimbukeni unawasumbua msururu wa magari kwenye misafara yao

    Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila...
  15. B

    Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

    20 July 2022 Washington DC TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022 Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa...
  16. B

    Kwa utaratibu wa viongozi wa AFRIKA, mama kawavumilia sana

    Mimi binafsi nasema mama kawavumilia sana na alifanyanao kazi kwa imani watabadilika na alifahamu maamuzi hayo ni mzigo mzito sana kwake... Hakuna Kiongozi Wa Afrika aliefanya kazi na timu ya aliyemtangulia, lakini mama amejaribu kulifanya ilo, Rais Wa DRC alijaribu kufanya kazi na timu ya...
  17. Basi Nenda

    vituko vya viongozi wa Africa katika picha

    picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
  18. E

    Kwanini viongozi wa Afrika hawatumii KQ kwenda UN

    Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja. Kuna shida gani kuwaunga mkono QK na kuonyesha mshikamano wa kiuchumi wa waafrika
  19. The Sheriff

    Je, kung'ang'ania hatamu za uongozi ni kusaliti dhana ya Umajumui wa Afrika?

    Habari wanaJF, Nina jambo nataka tuzungumze kidogo. Katika bara letu la Afrika kumekuwa na kasumba ya viongozi kung'ang'ania madaraka aidha kwa kubadili katiba (constitutional coups), ama kwa mabavu tu. Hata hivyo, wengi wa hao wanaoabudu vitendo hivyo ni walewale wanaotuaminisha kuheshimu na...
Back
Top Bottom