Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu...