Katika hali iliyotafsiriwa kama kuhakikisha Mahusiano mazuri na Makundi yote ya Kijamii, Chadema imekutana na Mashehe Jijini Arusha na kufanya nao mazungumzo, Yaliyofuatiwa na Dua kabambe.
Zaidi Taarifa kamili hii hapa
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, Mhe. John Heche, akiwa ameongozana na...