Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Hamas waagizwa kuondoka mara moja kutoka Qatar.
Magaidi hao wamekuwa kikwazo kwenye mchakato wa kupatikana amani kwa kugomea mipango yote ya kusitisha mapigano pamoja kukataa kuwaachia mateka wanaowashikilia
Uamuzi huo wa Qatar umetokana na ushauri wa Serikali...