Heshima kwenu wanajamvi,
Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee.
Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu. Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili...
Asalaam Aleykum,
Mwanzo 27:1-46, Biblia inaelezea kisa cha mzaliwa wa kwanza wa Mzee Isaka (Isihaka) ambaye aliitwa Esau pamoja na mdogo wake Yakobo (Yakub).
Kulingana na mila na tamaduni za kipindi hicho, Esau alikuwa ni kiongozi automatically kwa maana ndiye alikuwa mzaliwa wa kwanza.
Kwa...
Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
Yawezekana viongozi wetu wa kisiasa wanashindwa kutatua matatizo yanayowahusu wananchi kwa sababu mbili: Moja, hawana uwezo mzuri wa kufikiri na kutatua matatizo (Upeo wa akili zao ni mdogo).
Mbili, hawataki kutatua matatizo kwasababu matatizo ya wananchi ni fursa ya wao kuendelea kupata nafasi...
Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland, ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo, ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake.
Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.