Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu.
Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
Masheikh na viongozi wa dini ya kiislamu Bangladesh wamekasirishwa na kulaani kwa wimbi kubwa la wa Bangladesh kumshabikia Messi na timu ya taifa mpira Argentina kama wehu.
Viongozi hao wamechanachana bendera za Argentina ambazo zimezagaa mitaani na kuwakumbusha Allah pekee ndio wa kutukuzwa...
Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an na Sunnah.
Chini ni kanuni kuu na mifano halisi:
1. Kusikiliza Pande Zote Bila Upendeleo (العدل)...
Wakuu kwanza naanza kwa kudeclare kweli mimi ni mkristu na ninaabaudu na kusadiki kanisa Takatifu katoliki la Mitume
Toka uchaguzo umeanza umeisha yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wote tumeona na kwa namna moja ama nyingine tunaona tumeguswa kila namna hata kama sio ya moja kwa moja...