viongozi wa kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. winnerian

    Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  2. H

    Chanzo cha umaskini wa Waafrika ni viongozi wa kisiasa na wa kidini

    Habarini, Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY. Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
  3. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  4. Superbug

    Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

    Wanabariki utekaji. Wanabariki uuwaji. Wanabariki wizi wa kura. Wanabariki majina feki. Wanaiba hela za umma. Wanafitinisha jamii. Wanadhulumu maskini. Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
  5. Wakusoma 12

    LGE2024 Tusio na ajira/kazi zenye kuingiza kipato haturuhusiwi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa

    Wakuu nafikiri wote tumesikia kuwa wagombea kadhaa wameenguliwa kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato yaani kazi. Sasa vijana wenzangu wasomi ambao hatuna ajira ila tu tumeamua kufanya siasa serikali ya...
  6. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Jukumu la Viongozi wa Kisiasa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi na kuwashirikisha wananchi

    Kama tunavyofahamu mwaka huu 2024 na 2025 Nchi yetu ya Tanzania itakuwa katika Uchaguzi ambapo mwaka 2024 utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa november 27. Mwaka 2025 uchaguzi mkuu. Sasa kuna jambo ambalo lazima tuliseme na viongozi wafahamu na hata wale ambao wataonyesha nia ya kugombea...
  7. sergio 5

    Utumishi (PSRS) napendekeza muandae mitihani kwa viongozi wa kisiasa wanaoshinda majimboni

    Habari za muda huu, Naamini nafasi za uongozi zinahitaji watu wenye akili na uelewa (intelligence), siyo tu kuwa na ushawishi au pesa. Tanzania kwa sasa, tunaongozwa na watu wenye nguvu ya ushawishi wa kifedha kama wabunge na madiwani. Ili tuwe na viongozi bora wanaozingatia uwajibikaji...
  8. Chachu Ombara

    Jaji Warioba: Viongozi wa Serikali msiingilie majukumu na kazi za vyombo vya Dola

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki...
  9. Tlaatlaah

    Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  10. K

    Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais. Hili jambo kwa...
  11. Tlaatlaah

    Hili la viongozi wa kisiasa kulalamika zaidi ya wananchi ni jipya

    Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa wamepoteana na Kupoteza uelekeo kabisa mazima... Hayati Edward N. Lowasa, aliwahi kusema, na nukuu...
  12. G

    Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

    Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao. Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku...
  13. Dalton elijah

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  14. JamiiCheck

    Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  15. mirindimo

    Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225) RAIS: Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo: 1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani. 2. Kiinua mgongo sawa na ASILIMIA HAMSINI ya mshahara wake wote...
  16. U

    Mch. Mbarikiwa ahoji iwapo kiongozi wa dini kukemea uovu wa viongozi wa kisiasa ndiyo kuchanganya dini na siasa? Amtaka Kikwete kufafanua hoja yake

    Ukombozi wa pili wa taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka.. Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupigania HAKI kama walivyo kina Tundu Lissu au Mdude Nyangali au Boniface Mwambukusi au Dr Slaa au Freeman...
  17. Hismastersvoice

    CCM acheni kulalama huku mkijua mnao viongozi wa kisiasa wenye makanisa

    Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua rais na si sisi wananchi! Haya yote hayalalamikiwi. Enzi za Magufuli viongozi wa makanisa binafsi...
  18. Allen Kilewella

    Viongozi wa kisiasa msitake sifa kwenye mambo ya Usalama kwa misafara ya viongozi!!

    Kuratibu na kulinda misafara ya viongozi si jambo jepesi kama watu wengi wanavyodhani. Kuwa na mazingira wezeshi ya kulinda misafara hiyo pia si jambo la Polimi lai!! Naona watu wengi pamoja na wanasiasa wenyewe wanachanganya kati ya kuwa na misafara mirefu na muda unaotumika kupitisha...
  19. Chizi Maarifa

    Yanga bado hatujaweza kutia akili. Tunategemea sana Viongozi wa Kisiasa kutubeba

    Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa. Matches zetu zinachezwa hivyo hao TFF wameshaingia woga linapokuja suala letu maana simu zinazopigwa kwao...
  20. winnerian

    Kusafiri nje ya nchi kwa viongozi wa kisiasa na hata wale makinda wa kisiasa ni jambo jema

    Wengi wanahoji kwanini Rais SSH anasafiri sana nje! Jibu ambalo linahitaji mtazamo mpana sana ni kwamba KULE NJE ANAKUWA "EXPOSED" NA MAZINGIRA YA KIMAENDELEO na namna dunia inavyosonga mbele kwa kasi. Kwa mtazamo huu utagundua kila safari inamuongezea uchu wa kutaka kuiona Tanzania inajitahidi...
Back
Top Bottom