Sina muda mwingi kueleza mengi
Ili kukomesha suala la ushoga, usagaji na mambo machafu
1. Itungwe sheria ya dharula kupangua vipengele vya sheria katika sura ya haki za binadamu, watungiwe sheria Kali maana taswira ya haki za binadamu ililenga tamaduni za Magharibi zaidi pasi kuangalia nchi...