viongozi wa kuchaguliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Mchengerwa akemea Migogoro baina ya Viongozi wa Kuchaguliwa na wa Kuteuliwa

    Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea migogoro na mivutano baina ya Viongozi wateule na wale wa kuchaguliwa katika maeneo mbalimbali, akisema suala hilo linakwamisha dhamira nzuri ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…