Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea migogoro na mivutano baina ya Viongozi wateule na wale wa kuchaguliwa katika maeneo mbalimbali, akisema suala hilo linakwamisha dhamira nzuri ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia...