Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024.
Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya Maadili...
Kufanya hivyo ni kuhujumu na kukwamisha kwa makusudi jitihada kabambe, dhamira na nia njema ya ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kuipaisha Tanzania kimaendeleo.
Kumbukeni maneno haya ya busara aliyowahi kuyasema hayati Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Alli Hassan...
Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.
Kuna ugumu gani...
Amani iwe nanyi wanabodi!
Hata tuwe na makusanyo kikodi ya trilioni 100 kwa mwezi kama hatutakuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za wananchi nchi yetu itaendelea kuwa maskini milele!
Ukweli ni kwamba, hata haya makusanyo madogo tunayokusanya kupitia TRA, endapo Viongozi wetu wangeheshimu...
Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazozijenga na kuziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima...
Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo M. Buswelu kwa tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma
Pia, Sekretarieti hiyo itamfikisha mbele ya Baraza hilo, Yusuph H...
Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili.
Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi.
Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
Katika jamii ya Kidemokrasia, Uhuru wa kutoa maoni Mtandaoni huupa Umma nafasi ya kuchunguza Shughuli za Serikali na kuwawajibisha Viongozi kwa matendo yao.
Huwafanya Viongozi wawe Waangalifu na wenye busara katika kutekeleza Majukumu yao kwa uwazi kwa Manufaa ya Jamii nzima.
====
Katika...
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora
Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
Wanabodi,
Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu!
Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...
Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting.
Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu kwa wananchi.
Kitendo cha mteuliwa kuwa na kashfa ya ngono, wizi, utoro kazini ni aibu kwa wananchi...
Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya.
Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata.
Vitendo hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.