viongozi waandamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Pesa ndizo zitakazowafarakanisha viongozi waandamizi wa CHADEMA na kuisambaratisha kabisa kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba

    Whethe mpango huo wa kitapeli utafanikiwa ama laa, lakini mwisho wa siku pesa ndio itakayo wagombanisha na kuvuana nguo hadharani uongozi mpya wa chadema. Ni suala la muda tu kwa jambo hilo kutokea. Baada ya kuacha misingi ya kuanzishwa kwake, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema...
  2. Tlaatlaah

    Ni wazi viongozi waandamizi na wanachama wengi wa CHADEMA, kwa hasira watahamia CCM baada ya uchaguzi wao wa fujo na vurugu Jan.21.2025

    Wengi watachafukwa sana dhidi ya mchakato wa uchaguzi utakavyokua unaendeshwa, na zaidi sana watavurugwa zaidi na matokeo ya uchaguzi huo ambao ni wazi utagubigwa na vurugu, fujo na songombingo za kabokamchizi kama zote. Baadhi ya viongozi waaandamizi wa CHADEMA Taifa watapokelewa kesho kwenye...
  3. Tlaatlaah

    Kwa ustawi wa CHADEMA kama chama cha siasa, panahitajika maridhiano baina ya viongozi wake waandamizi na wanachama wote kwa ujumla

    Hakuna haja ya kujipiga kifua, kujidanganya na kuhadaa umma eti chadema hakuna mgawanyiko wala mafarakano na vita ya chini kwa chini miongoni mwa viongozi wake wa andaminizi, hasa kambi ya mwenyekiti taifa na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa. Ukweli usemwe ndrugu zango kwenye changamoto za...
  4. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza...
  5. Tlaatlaah

    Kuna viongozi waandamizi CHADEMA, wanaohujumu mipango ya maandamano kwa makusudi kwa nia zao kisiasa, je wapongezwe au walaumiwe?

    Haijafahamika bado, lengo lao ni nini hasa mpaka kufikia hatua ya kutofautiana uelekeo na viongozi wengine waandamizi ndani ya chadema. Yawezekana vita na joto la uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi zilizobaki, bado ni kali mno ndani ya chadema, kila moja anapambana kutafuta kuungwa mkono...
  6. Tlaatlaah

    Viongozi wa umma acheni kuhusisha mipango na vitendo vya awamu zilizopita na awamu ya Rais Samia

    Kufanya hivyo ni kuhujumu na kukwamisha kwa makusudi jitihada kabambe, dhamira na nia njema ya ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kuipaisha Tanzania kimaendeleo. Kumbukeni maneno haya ya busara aliyowahi kuyasema hayati Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Alli Hassan...
  7. Tlaatlaah

    Viongozi waandamizi, ni vizuri kutii mamlaka na taasisi zilizowaweka mlipo kwa heshima. Zingatieni viapo na mipaka ya kazi mlizopewa

    Katika kitabu chake cha THE 48 LAWS OF POWER, muandishi Robert Greene ameeleza kinagaubaga tahadhari muhimu sana, mila, desturi, utamaduni na maisha ya viongozi dhidi ya mamlaka za juu yao. amefafanua maonyo na makatazo ya maana sana kwa viongozi watawala na wasaidizi woa, juu ya namna bora ya...
Back
Top Bottom