No reform no elections ni agenda ya kuwapotezea uelekeo wa kisiasa chadema na kuwapoteza kabisa kwenye ramani ya siasa.
Hakuna alie na uhakika ikiwa chadema watashiriki au hawatashiriki uchaguzi mkuu, kwasababu ya utata wa agenda hiyo ya mwenekiti wao isiyo na mashiko wala tija.
Hakuna...
Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?
Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa...
Haijafahamika bado, lengo lao ni nini hasa mpaka kufikia hatua ya kutofautiana uelekeo na viongozi wengine waandamizi ndani ya chadema.
Yawezekana vita na joto la uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi zilizobaki, bado ni kali mno ndani ya chadema, kila moja anapambana kutafuta kuungwa mkono...
Zaidi ya mara moja kiongozi wake muandamizi ambae pia ni makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hiki amebainisha wazi na kulalamikia jambo hili baya kabisa, linalokwamisha mambo mengi sana kusonga mbele ndani ya Chadema na mahali pengine popote. Rushwa.
Alilizungumzia jambo hili la rushwa nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.