viongozi waongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Ila hii nchi sijui wanatuonaje! Tulidanganywa sana hasa kipindi cha nyuma

    Tulidanganywa sana 1. Eti kuna mtu alikuwa akipata mil 7 kwa sekunde kupitia EFD 2. Eti nchi inajenga miundombinu kwa hela za ndani wakati mikopo inakopwa kimyakimya 3. Eti tumeingia uchumi wa kati wakati ilikuwa uongo kabisa. 4. Kuna ajira elfu 13 zilitangazwa kwa mbwembwe sana kumbe...
Back
Top Bottom