Moja ya sifa za uongozi imara ni pamoja na UWAZI katika kufanya mambo na utoaji taarifa kwa wadau juu ya mwenendo wa shughuli na matokeo.
Hata hivyo, moja ya kosa viongozi wengi WAWAZI ambalo hufanya ni kudhani wanaweza kuwa wawazi kwa kila kitu. Kuwa muwazi katika kila kitu kunafanya taasisi...