vioo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kabati la Vioo la Nguo ama Urembo Linauzwa

    Ebhana watu wa JF nawasalimu kwa Heshima ya Jamhuri ya muungano wa Taifa letu Nina biashara nahitaji kuuza hili kabati langu la vioo, Na nimelipenda sana ila dah kuna madogo wawili wamekuwa position nyumbani sasa ni watundu balaa na mm nahofia watavunja maana wao sasahivi wanashinda room...
  2. W

    Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

    sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale. kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
  3. K

    Natafuta vioo vya samsung

    Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu
  4. Karibuni sana kupata madirisha ya vioo na milango

    Natumai mko poa kabisa PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM _natengeneza madirisha ya alluminiu _milango ya alluminium & viooo _partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali _vioo vya saloon kike na kiume _kama uliweka madirisha tunafanya repair kama vioo havitembei vizuri ama wavu kuchanika...
  5. D

    Offer offer phone accessories

    Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja EARPODS 3 kwa 7,000/= tu Viioo vya SIMU Charge aina zote Smart watch N.k 0748831964 Whatsapp
  6. Q

    Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

    Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe. Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi. 1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani. 2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel. 3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza. 4. KGB - Shirika...
  7. J

    Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  8. TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Habari, Wakuu humu jamii forum Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used. Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
  9. R

    Ushauri: Gari zote ziondolewe vioo vya tinted Ili kuwabaini watekaji wasiojulikana

    Salaam, shalom!! Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili. Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu. Ushauri: Gari zote ziondolewe...
  10. Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  11. Wale ambao tulishawahi kuaibika kwa kujiangalia kupitia madirisha ya vioo (Ya Aluminum) tukutane hapa ili tuache pamoja

    Mimi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 nikiwa katika pita pita zangu nikafika kwenye mjengo mmoja wa maana ulikuwa na madirisha ya vioo vile vyeusi si nikaanza kujiangalia vile vioo huku nikiwa najikenurisha mara bila kujua kuwa kumbe ndani kuna mtu ananitizama mara gafla lile dirisha...
  12. E

    Mwendokasi imekuwa ni kero sana

    Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili. Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia. Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.
  13. G

    Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

    PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000 PIXEL 6A 305,000 PIXEL 6PRO 240,000 PIXEL 7 320,000 PIXEL 7PRO 270,000 PIXEL 7PRO 230,000
  14. Video: Baharia kafunga vioo

    Bila shaka huyu jamaa ni Member wa UWABATA (UMOJA WA WANAUME BAHIRI TANZANIA).
  15. Swali: Kwanini Bodaboda nyingi sasa hivi hazina Vioo vya pembeni, (Side mirrors)?

    Thread was deleted
  16. Tanzania Yazindua Kiwanda Kikubwa cha Vioo Afrika Mashariki na Kati

    Tanzania Yazindua Kiwanda Kikubwa cha Vioo Afrika Mashariki na Kati Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) amesema uzinduzi wa kiwanda kikubwa cha vioo Afrika Mashariki na Kati ni hatua muhimu katika kuendeleza sekta ya viwanda nchini Tanzania. Akizungumza katika uzinduzi...
  17. Mnaondoaje 'Hard water stains' kwenye vioo vya gari?

    Wakuu, samaleko. 😎 Hizi "water marks/stains" kwenye vioo zinaathiri sana ung'aavu kamili wa kioo na kupunguza muonekano mzuri. Ni jinsi gani ya kuziondoa? Ni ngumu mno kuzitoa, ni sugu!!! -Kaveli-
  18. Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

    Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar...
  19. M

    Vioo vipya vya magari napata duka gani?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika juu naulizia jwa Dar duka gani wanauza vioo vipya sio used vya magari mfani mi nikitaka badilisha vioo vya gari yangu Nissan tilda ya 2010 vioo vinaweza patikana? Vioo vipya
  20. N

    Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…