vipande vya utt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Technophilic Pool

    Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

    Wataalam wa UTT nipo acc ya ukwasi Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki. Hadi napata wasiwasi
  2. Friedrich Nietzsche

    Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

    Mwaka 2017 nilinunua pagara huko Mbeya! Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu. Cost nilizotumia ni 4.5 M. Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa Mbeya demand ya nyumba ndogo mno tofauti na mikoa kama Dodoma Mwanza au Dar. Kifupi hailipi. Nawaza ningeweka UTT leo ningekuwa...
Back
Top Bottom