Mwaka 2017 nilinunua pagara huko Mbeya!
Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu.
Cost nilizotumia ni 4.5 M. Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa Mbeya demand ya nyumba ndogo mno tofauti na mikoa kama Dodoma Mwanza au Dar.
Kifupi hailipi.
Nawaza ningeweka UTT leo ningekuwa...