Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi hawa vijana wanaoshika nafasi za juu kwenye matokeo ya kidato cha Nne na Sita ambao kimsingi huwa na ufaulu wa Division 1.7 kwa Form Four na 1.3 kwa Form 6 huwa wanaishia wapi? Kwasababu najua kuna wengine huwa wanasoma Sheria, kwanini wasingekuwa...
Kuna watu walionekana wana IQ kubwa kumbe ni vilaza wa kutupa, kuna wengine tuliwachukulia poa kumbe kichwani zimo.
Tumeshawajua vilaza wa Taifa na vipanga wa Taifa.
Mtu anadiriki kusema kuwa wengine wanahoji kuhusu bandari wakati hawapajui bandarini,mwingine anahoji kuwa bsndari ilianzishwa...
Mara nyingi sana katika safari yangu ya elimu, walimu wamekuwa na tabia ya kusema kwamba uwezo wa mwanafunzi darasani lazima awe anawahi namba, hapigi kelele, awe mara hivi mara vile lakini unakuta wale vipanga wanaokuwa na uwezo (sio wa kariri) na maanisha wale waliokua wanaweza kusolve kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.